
Maisha haya ya Mgambo wetu wa jiji la Dar es Salaam yataisha lini? badala ya kusimamia vitu muhimu kama kuwakamata wanaochafua mazingira na kulifanya jiji kuwa chafu wao wanahangaika na kukamata waosha magari na kuwapeleka uchochoroni na kuwachomoa fedha.
0 comments:
Post a Comment