Nafasi Ya Matangazo

January 05, 2010

Wadau jana nilipita Maeneo ya Masaki nikakutana na magofu haya nikashindwa kupata jibu kulikoni kumeanzishwa hifadhi ya Panya na nyoka, je serikali inampango gani nayo au ndo kama kawaida yetu misitu ukiwa mkubwa tunauziana kwa majina. Nisaidieni mnao jua hili.Nyumba hizi zipo nyingi na habari zisizo rasmi naambiwa ni sa Shirika la Nyumba la Taifa.
Posted by MROKI On Tuesday, January 05, 2010 3 comments

3 comments:

  1. Yaani na hiv nyumba zilivyo ghali maana wenye nyumba wanatunyanyasa sana huku NHC wakishikilia magabacholi hizo gorofa zinazojengwa Mbantu haziwez jamani tutafika kweli huko boko badaka Kabwela auziwe wamewauzia wanene hii haki kweli?wakauziwa wakapangisha makabwela kweli huu unyonyaji ndo Maisha bora kwa kila Mtanzania Mmhhhhhhh

    ReplyDelete
  2. Duuh huyu Mdau kanichekesha lakini si cheki kwa uzuri ila kwa kuona Watanzania wanakuwa maskini wakutupwa am kweli Tanzania Zaidi ujiavyo watauziwa hao hao walionacho wanazidi kuongezewa wewe utaishia kurent kwao

    ReplyDelete
  3. We unafikiri zimesahaulika aaah wapi watu wanazipigia misele kiaina aina

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo