Nafasi Ya Matangazo

January 06, 2010

Rais Jakaya Kikwetea akifungua mfuko kumkabidhi Didie Drogber fulana ya Tanzania iliyo na jina lake mgongoni wakati wa chakula maalum cha mchna alicho waandalia wachezaji wa timu ya Ivory Coast, Tanzania na Rwanda katika Hoteli ya Golden Tulip Dar es Salaam leo.
Mdau Juma Kengele akipiga picha kiaina na Drogber...
Wachezaji wa Stars wakiwa katika mlo huo wa mchana
Timu ya tifa ya Rwanda wakisubiri maakuli hayo ya rais leo. Kesho timu hii inachuana na Ivory Coast katika mchezo wa kuwapima akina Drogber wanaoenda katika michuano ya Fainali za Afrika Angola.
Drogber na mwenzake wakifurahia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete.
Posted by MROKI On Wednesday, January 06, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo