
Wadau jana nilipita Maeneo ya Masaki nikakutana na magofu haya nikashindwa kupata jibu kulikoni kumeanzishwa hifadhi ya Panya na nyoka, je serikali inampango gani nayo au ndo kama kawaida yetu misitu ukiwa mkubwa tunauziana kwa majina. Nisaidieni mnao jua hili.



Nyumba hizi zipo nyingi na habari zisizo rasmi naambiwa ni sa Shirika la Nyumba la Taifa.
Yaani na hiv nyumba zilivyo ghali maana wenye nyumba wanatunyanyasa sana huku NHC wakishikilia magabacholi hizo gorofa zinazojengwa Mbantu haziwez jamani tutafika kweli huko boko badaka Kabwela auziwe wamewauzia wanene hii haki kweli?wakauziwa wakapangisha makabwela kweli huu unyonyaji ndo Maisha bora kwa kila Mtanzania Mmhhhhhhh
ReplyDeleteDuuh huyu Mdau kanichekesha lakini si cheki kwa uzuri ila kwa kuona Watanzania wanakuwa maskini wakutupwa am kweli Tanzania Zaidi ujiavyo watauziwa hao hao walionacho wanazidi kuongezewa wewe utaishia kurent kwao
ReplyDeleteWe unafikiri zimesahaulika aaah wapi watu wanazipigia misele kiaina aina
ReplyDelete