
Mpiga Picha Bora 2009, Richard Mwaikenda wa gazeti la Jambo Leo, akipongezwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wapiga Picha za Habari Tanzania (PPAT), Juma Dihule, wakati wa hafla ya kuwazawadia waandishi bora 2009, Dar es Salaam juzi. Hafla hiyo iliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).

Mpiga Picha Bora 2009, Richard Mwaikenda kutoka gazeti la Jambo Leo, akiwa na fura baada ya kutangazwa mshindi na kuzawadiwa tuzo na kamera wakati wa hafla ya kuwazawadia waandishi bora 2009, Dar es Salaam juzi. Hafla hiyo iliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).
0 comments:
Post a Comment