Nafasi Ya Matangazo

December 21, 2009

Bi Harusi Grace Hilly akimvisha pete bwana Harusi Gadi Kalugendo katika harusi iliyofungwa katika Kanisa Kuu la KKKT Azania Front Dar es Salaam juzi. Maharusi wakipiga picha ya pamoja na Wachungaji nje ya Kanisa.
Bwana na Bi Harusi wakipiga pozi la picha kule Golden Tulip. Wadau hawa nao walikuwa ni miongoni mwa mashuhuda wa tafrija hiyo.
Posted by MROKI On Monday, December 21, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo