Nafasi Ya Matangazo

December 16, 2009

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya wa Tanzania katika nchi za nje mara tu baada ya kuwaapisha rasmi ikulu, kutoka kushoto ni Balozi Dr.James Nzagi anayekwenda Burundi,Rais Kikwete, Balozi Bibi Salome Sijaona anayekwenda Japan na Balozi Prof.Abillah Omar anayekwenda Saud Arabia.
Posted by MROKI On Wednesday, December 16, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Father Kidevu,
    kama una picha zaidi ya hawa jamaa kuapishwa naomba uziweke. Namkumbuka mwalimu wangu Prof. Omari.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo