Nafasi Ya Matangazo

November 09, 2009

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Green Acres wakiwa katika mdahalo na wanafunzi wa shule nyinge za mkoa wa Dar es Salaam juu ya umuhimu wa ulipaji kodi. Mdahalo huo umeandaliwa kwa pamoja kati ya Taasisi ya TAYCO na Mamlaka ya Mapato nchioni TRA ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mlipa kodi.
Posted by MROKI On Monday, November 09, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo