Nafasi Ya Matangazo

November 10, 2009

DADA Subi (pichani)anaomba kuwataarifu wasomaji wote kuwa tovuti ya mpya ya www.wavuti.com imechukua nafasi ya iliyokuwa nukta77.com na nukta77.blogspot.com Naomba yeyote aliyekuwa ameweka linki ya nukta77 aihariri na kuweka http://www.wavuti.com/
Karibuni sana kutembelea kwa taarifa za nafasi za masomo na kazi kwa burudani na bila kusahau habari na porojo!Asanteni.wavuti.com
Posted by MROKI On Tuesday, November 10, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo