Victor na Happyness walivyo uaga ukapera
Mtangazaji wa Redio TV Tumaini na Mhariri wa gazeti Tumaini Letu, Victor Robert Wile akifurahi na mke wake Happiness Hilary Maghali baada ya kufunga ndoa Takatifu hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa Kuu la Mt. Yosef na baadaye kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka katika ukumbi wa Mawimbi Lamada Hotel Ilala.

0 comments:
Post a Comment