
Maandalizi ya kufunga ngao

Hapa jamaa anaingia shimoni

Ana mulika kwa wenge la moto kujua Chatu alipo lala

Hapa sasa kazi inaanza ni uso kwa uso na Chatu...

Dah! Chatu kumbe alikuwa akitamia mayai yake ...

Shughuli ya kumshika ilipoanza...

Ili aliyeshimoni atoke inabidi wanje wamvute miguu...

Hahaha...kitu na boxi Chatu hiloo

Hapa ni kitoweo tu Nyie mnakula kuku sisi twaenda kula Chatu kwa mrija...
Nishai kweli hawa jamaa si bora angetumia jiti refu.
ReplyDeleteI always admire your originality
ReplyDeleteBlessings
Alvin
mmeniacha njia panda, is t for real,....kumla chatu sishangai ila kinachonishangaza jinsi alivomnasa, means kamlewesha au.... duh
ReplyDelete