Nafasi Ya Matangazo

October 19, 2009

Maandalizi ya kufunga ngao
Hapa jamaa anaingia shimoni
Ana mulika kwa wenge la moto kujua Chatu alipo lala
Hapa sasa kazi inaanza ni uso kwa uso na Chatu...
Dah! Chatu kumbe alikuwa akitamia mayai yake ...
Shughuli ya kumshika ilipoanza...
Ili aliyeshimoni atoke inabidi wanje wamvute miguu...
Hahaha...kitu na boxi Chatu hiloo
Hapa ni kitoweo tu Nyie mnakula kuku sisi twaenda kula Chatu kwa mrija...
Posted by MROKI On Monday, October 19, 2009 3 comments

3 comments:

  1. Nishai kweli hawa jamaa si bora angetumia jiti refu.

    ReplyDelete
  2. I always admire your originality

    Blessings

    Alvin

    ReplyDelete
  3. mmeniacha njia panda, is t for real,....kumla chatu sishangai ila kinachonishangaza jinsi alivomnasa, means kamlewesha au.... duh

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo