
Vodacom Miss Tanzania 2009 Miriam Gerald akipunga mkono mara baada ya kutawazwa kuwa mshindi wa taji hiolo na kuwaangusha wanyange wenzake 28 katika shindano hilo usiku wa kuamkia leo.

Miriam Gerald alikuwa ni shiriki namba tatu na ndiye aliyeibuka kuwa Mrembo mwenye Mvuto wa Picha.
dahaaa haka katoto nilikua najua kwamba katautwa ushindi mapema.maaana kana mwanya wakuvutiaa .naomba contact zake nikaoee miee kiwembe a.k.a mbeba boxi ughaibunio.hahahahahha
ReplyDelete