
Timu ya Taifa ya Mpira wa Netiboli (Pete) Taifa Qween (jezi za njano) leo imepata kipigo cha pete 45 kwa 40 dhidi ya Namibia katika mchezo wa kwanza uliochezwa leo Uwanja wa Tifa Dar es Salaam katika mfululizo wa michuano ya Kimataifa ya mchezo huo.

Wadada walioshiba kutoka Namibia wakipongezana baada ya ushindi dhidi ya Tanzania.

Hekaheka za kutafuta mpira katika mchezo huo. Matoko mengine ya michezo ya leo ni Tanzania ilipata kichapo tena kutoka kwa Zambia kwa 31-24. Uganda waliwachapa vibonde wa michezo hiyo Lethoto kwa Pete 60-23 wakati Zambia waliwachapa Afrika Kusini Pete 42 -40.
Brother hao Taifa Kwinz wanatuaibisha bwana.
ReplyDeleteMisketi mirefu utafikiri wanakwenda kwenye Ibada bwana! Khaa!
Hawawaoni wenzao?
Unapokua Roma fanya kama Waroma wafanyavyo bwana.
Hamjui wanaume tunapokuja kuangalia netibolu tunakuja kuangalia vingi? Nyie vipi nyie?