Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge Dar es Salaam akifagia zualia kabla ya Rais Jakaya Kikwete kuwasili shuleni hapo katika kituo namba moja cha kujiandikisha wapiga kura wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. October 05, 2009
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge Dar es Salaam akifagia zualia kabla ya Rais Jakaya Kikwete kuwasili shuleni hapo katika kituo namba moja cha kujiandikisha wapiga kura wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






SIKUJUA BADO TUKO "ENZI ZA MWALIMU" ZA KUWATOA WATOTO DARASANI WAFANYE USAFI WA "ZIMA MOTO" ILI KUMRIDHISHA MUHESHIMIWA. MI NILIDHANI MAMBO HAYA YALIISHA ENZI HIZOOOOOO!!
ReplyDeleteJamani huyu si amezimia juzi kule Mwanza? Bado anatembea tembea tu?!?
ReplyDeleteKwani hilo daftari si angepelekewa ofisini kwake akasainia huko tu?
Muoneeni HURUMA mwenzenu jamani!