
Hii ni mandhari nzuri ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo inaonekana wananchi wapita kando kando ya dimbwi la maji taka ya chooni lililopo Posta Mpya karibu na Kituo cha Mafuta cha GAPCO barabara ya Azikiwe. Maji haya yanatiririka katika eneo hilo kwa zaidi ya mwezi sasa bila ya wahusika kuchukua hatua.
0 comments:
Post a Comment