Makamu wa wa tatu Kushoto akila futari na watanzania waishio nchini Switzerland

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamerd Shein akizungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Switzerland mara baada ya kulanao Futari aliyowaandalia watanzania hao

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Watanzania wanaoishi Nchini Switzerland baada ya kula Futari aliyowaandalia jana katika Hoteli ya Intercontinental mjini Switzerland.

0 comments:
Post a Comment