Baadhi ya warembo wanaowania taji la Miss Vodacom Tanzania 2009, wakiwa katika picha ya pamoja katika siku ya kwanza ya kambi yao Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Witness Nesphory, Glory William, Catherine Letara, Torry Oscar na Mary Joseph.
Kutoka kushoto ni Maria Daniel, Gloria Mayowa, Lulu Ibrahim, Beatrice Lukindo na Evelyn Lujamasa.
Kutoka shoto ni Mary Lucas, Suzan Emmanuel, Aloycia Innocent, Gladdines Shao na Precious Donald.
Kutoka kushoto ni Easter Gao, Doris Deodatus, Sandra Malembeka, Sia Ndaskoi na Stella Solomoni.
Kutoka Kushoto ni Wagala Shungu, Ivony Bigirwa, Julieth William, Sabina Budodi na Stella Chidodo.
Toka kushoto ni Glory Chuwa, Sylvia Shally, Miriam Gerald, Jacquline Nitwa na Shany Anthony.
0 comments:
Post a Comment