Nafasi Ya Matangazo

September 14, 2009

Katika mikutano ya kibiashara kwa nchi za wenzetu hasa Kenya naona bango za biashara huwekwa pembeni lakini hapa kwetu mnajua inavyokuwa. Hapa ni katika mkutano na ... .....hapa kwetu mambo huwa hivi
Posted by MROKI On Monday, September 14, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Great observation Mrocky tushituane katika hilo sponcer hatikiwi kukinga mandhari ya tukio huku ughaibuni kwa mfano kila bango linavyozidi kuwekwa karibu na tukio basi fedha inatakiwa zaidi.. na katika show kubwa Mfano opera houses stagini uchafu huo hatakiwi unaishia kwenye ticketi tuu.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo