
Hatimaye Zombe na wenzake 9 waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa mkoani Morogoro wameachiwa huru na mahakam Kuu ya Tanzania.

Watu wakiingia Mahaka Kuu na wengine wakiwa wamekaa nje kusubiri huku.

Umati ulizidi kuongezeka hadi lango kuu kujaa.

Watu wakishangilia baada ya huku kutolewa na Zombe na wenzake kuachiwa huru..
0 comments:
Post a Comment