
WANABLOGU WENZANGU NAPENDA KUWAATARIFU NILIFANYA FASHION SHOW YANGU SIKU YA JUMAMOSI KATI MJI WA BANGALORE INDIA...NA SHOW YENYEWE ILIKUWA NI YA MAVAZI YA KIUME....ASANTENI SANASHERIA NGOWI -pichani katikati.

Kazi kwenu wavaaji Sheria Ngowi kashatoa viwalo hivyo
0 comments:
Post a Comment