
Mpigapicjha wa Kituo cha Televisheni cha TBC, Butu akiwa amelowa mwili mzima hadi Camera yake baada ya bomba la maji kuachia katika gari la zima moto na kumwangusha chini leo wakati wa kuzima moto katika kiwanda cha Jumbo Packaging Print company.

Butu akiondoka, japo haikujulikana mara moja kama alichokuwa akirekodi kilisalimika au laa. n acamera ni nzima.

Butu akiwa kazini kabla ya ajali. Blogu hii ya Jamii ya masuala ya Picha inampa pole Butu kwa ajali hiyo.
Kweli ni ajali kazini, inaudhi na kukerehesha kwa wakati huo lakiini hamna cha kufanya. Pole sana mkuu Butu.
ReplyDelete