Nafasi Ya Matangazo

August 19, 2009

Raymond Mndolwa Meneja masoko wa Dawasco akizungumza na waandishi juu mtu waliyemkamata akiuza maji isivyo halali Tanki Bovu juzi.
moja ya magari yanayonunua maji yakipakia.
Sehemu ambayo iliaminika kuwa ni ya chemba ya maji taka (choo) lakini kumbe ni tanki la kuhifadhia maji ya biashara.Polisi akiangalia bomba linalotoa maji na kepeleka katika gari.
Mita ya mteja huyo wa dawasco ambaye pia ni Mfanyakzi wa Wizara ya Maji. Mtu huyi alikutwa na line tatu za maji lakini ile ya halali ilikuwa imefungwa na akajiunganishia nyingine kinyemela ambayo alikuwa anaifanyia biashara.
Posted by MROKI On Wednesday, August 19, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo