Hello! mdau, Ninaitwa Teddy Kalonga, ni Mtanzania na Mwarika mwenzenu, ni muda kidogo toka nifanye casting hii inayomsaka mtangazaji wa SPIKE TV, ambapo hivi punde nimetokea kuwa mmoja wa washiriki wa shindano hilo ambao walioingizwa kwenye mpambano. Hivyo basi, tunatakiwa kupigiwa kura ili mmoja wetu aweze kuchaguliwa kama msemaji wa kike na mtangazaji wa SPIKE TV.Kwa kukamilisha hili nahitaji kura yako mdau! Ingia hapa kwa kupiga kura Go to SPIKE.COM and VOTE for Teddy Kalonga
August 20, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa jinsi TK alivyobomba, kura atapata kutoka kwangu. Labda kama ataomba kingine, hapo itabidi tujadiliane kwanza.
ReplyDeleteThis Is Black=Blackmannen