Wilaya ya Ludewe,lililojengwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania wodi hiyo imegharimu kiasi cha shilingi Milioni 42.(kushoto) ni Mbunge wa Ludewe Profesa Raphael Mwalyosi (Kulia) Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba wakishuhudia uzinduzi huo.
Raphael Mwalyosi na Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Iringa pindi Chana wakiangalia moja ya kitanda vitakavyotumiwa na wakina mama wajawazito
baada ya Mfuko wa kusaidia jamii wa vodacom(Vodacom Foundation)kuwakabidhi jengo la kusubiria akina mama wajawazito ambalo limegharimu kiasi cha milioni 42.
0 comments:
Post a Comment