
Hili ni daraja letu

Daraja hili lilijengwa na Mzungu wa Kituo cha Yatima ambacho sasa kinaendeshwa na wazungu. Mbunge, Diwani na Halmashauri mpooooo.

Daladala likipita katika daraja la Rubokwe linaunganisha wakazi wa Mbezi, Msakuzi na Makabe Dar es Salaam ambalo limekatika na kuwatia hofu wakazi wa maeneo hayo, hasa katika kipindi cha mvua kutokana na ubovu huo. Wakzi hao wanaiomba Halamashauri kulifanyia matengenezo daraja hilo mapema.
0 comments:
Post a Comment