Nafasi Ya Matangazo

August 06, 2009

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Jitegemee, wakiwa katikam kituo cha Daladala kusubiri usafiri kama walivyokutwa jana wakiwa wanajaribu kusimamisha kila gari bila mafanikio huku usiku ukiwa unazidi.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Secondari ya Kizimkazi Dimbani, Ussi Othman Ussi (kulia) akipokea vitabu kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ali Suleiman Haroun (katikati) katika sherehe za kukabidhi vitabu hivyo zilizofanyika jana Shule ya Sekondari ya Kizimkazi Dimbani, Zanzibar. Zain imetoa vitabu kwa shule tano za sekondari za Unguja na Pemba. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Zain Tanzania, Celine Njuju.
Posted by MROKI On Thursday, August 06, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo