Nafasi Ya Matangazo

August 06, 2009

Mama Anne Kilango Malecela akifurahia jambo hadi kulalia bega la mumewe Mzee John Samuel Malecela jana baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kutembelea walemavu kwaaji ya majimbo yao ya Same Mashariki na Mtera.
Mbunge wa Mtera John samuel Malecela kimpakia mkewe Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela baada ya kupokea msaada wa vifaa vya walemavu kutoka Hope Project for Disable Tanzania. Alikuwa akijaribu uwezo wa baiskeli hiyo.
Posted by MROKI On Thursday, August 06, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo