Nafasi Ya Matangazo

August 11, 2009

Mkurugenzi wa kitengo cha huduma za wateja wadogo benki ya Barclays Manoj Anchan (Kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya ‘furahia Maisha ‘ kwa kuweka fedha benki iliyozinduliwa na benki hiyo leo,kulia kwake ni Mkuu wa kitengo cha Raslimali na Uwekezaji William Mungai,sherehe za uzinduzi huo zilifanyika katika tawi la Barclays lilipo katika jingo la Alpha.
Posted by MROKI On Tuesday, August 11, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo