
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimlisha keki mkewe Tunu ikiwa ni ishara ya kuadhish siku ya kuzaliwa kwake. Alikuwa kwenye mji Mdogo wa Kibaya wialyani Kiteto akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara jana. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Dollar Mushi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea maua kutoka kwa mkewe Tunu ikiwa ni pongezi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake .
0 comments:
Post a Comment