Nafasi Ya Matangazo

August 11, 2009

Mkurugenzi mtendaji wa Benchmark Production Ritah Paulsen(kushoto)na Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kulia)akiongea na wanahabari wakati walipotangaza kumi bora ya washiriki wa Bongo Star Search 2009.Vodacom Tanzania ni wadhamini wakuu wa shindano hilo.Washiriki wa Bongo Star Search 2009 wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania George Rwehumbiza pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Benchmark Production Ritah Paulsen ambae ni muandaaji wa shindano hilo yakidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Posted by MROKI On Tuesday, August 11, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo