
Kwayeyote anaemfahamu Kijana huyu aliyejitambusha kwa tabu kwa jina la Issack Peter mwenyeji wa Moshi mkoani Kilimanjaro afike Hospitali ya Taifa Muhimbili Wadi 17 ya SEWAHAJI. Alifikishwa hapo na Polisi waliyomuokata akiwa hajitambui na majeraha kichwani hadi sasa hawezi kujieleza vizuri.
huyu jamaa mi namfahamu sana,tulisoma nae class moja tokea form 1 mpk 6 pale makongo,alikua anakaa chang'ombe,sasa sijui km bado anakaa huko ama alihama.
ReplyDeleteMimi nilisoma nae primary school, kweli alikuwa na anakaa chang'ombe maduka mawili ,mbele kidogo kuna kituo(msaada mchichani), alikuwa anakaa magorofani na mama yake wa kambo au aunt yake kama sikosei na alikuwa anatumia jina la stuwart peter,ndio jina wengi wao wa chang'ombe wanalifahamu.
ReplyDelete