
Miss Ilala 2009, Slivia Shally (katikati) mshindi wa pili Glad Shao (kushoto) na mshindi wa tatu Eveline Gamasa baada ya kutawzwa kuwa ndio wanao ingia kambi ya Miss Tanzania.

Slivia Shao akipunga mkono baad ya kutangazwa kuwa mshindi. Pia alishinda taji la Miss mwenye mvuto wa picha.

Warembo wakisubiri mchujo wa kumi bora. Mwenye namba nne (wapili kushoto) alianguka baada ya kushindwa kuingia awamu hiyo.

Huyu alifanikiwa nafasi ya pili japo wengi walimtaraji ni Glad Shao.

Hapo sasa ufukweni kistaarabu zaidi

Mnaniona jamani...

Irene Karugaba akiwa ufukweni

Fatma Bongi na pozi la ufukweni

vazi la ubunifu

Raundi ya kwanza ya vazi la ubunifu

Mambo ya sarakasi yalikuwepo.

Warembo wakicheza shoo ya ufunguzi.
0 comments:
Post a Comment