Nafasi Ya Matangazo

August 19, 2009

Mdau na Msakata ndinga Ulaya Credo Mwaipopo ameumia goti wakati wa mchezo wa ligi daraja la pili huko Sweden. Tumuombee apone haraka na arejee uwanjani. Anadai kifundo cha goti kiligeuka lakini hajavunjika.
Posted by MROKI On Wednesday, August 19, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo