
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Batilda Burian, na Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Eric Mugurusi, wakisikiliza Maelezo kutoka kwa Lee Seung Rae (Hayupo Pichani) ambae ni Mkurugenzi wa Kituo cha Kuzalisha Nishati itokanayo na Taka Jijini Incheon Nchini Korea, Namna Kituo hicho kinavyofanya kazi hiyo.
0 comments:
Post a Comment