Nafasi Ya Matangazo

August 14, 2009

Wakazi wa Dar es Salaam wakishangilia baada ya mabasi ya mikoani na nchi jirani kuruhusiwa kuendelea na safari zao muda mfupi baada ya kumaliza mgomo wao uliodumu kwa zaidi ya saa tano, katika kituo kikuu cha mabasi hayo, Ubungo jana
Bwana Mkazi wa Katesh wilayani Hanang, Dahai Gadir akilima kwa kutumia trejta dogo yaani Power Tiller lililotengezwa Katesh na Mohamed Elmi kwa kutumia injini ya pikipiki. Alikuwa akimwonyesha Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) aliyekuwa katika ziara mkaoni Manyara jana.
Posted by MROKI On Friday, August 14, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo