Nafasi Ya Matangazo

May 21, 2009

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Aisha Kigoda akizindua mashine ya Kuuzia Kondomu inayofanya kazi kama ATM Dar es Salaam jana, Mashine hizo zimesambwazwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na PSI Tabzania. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSI Tanzania, Mary Mwanjelwa.
Wasichana Beatrice Joseph (kushoto) na Selina Kipeta wakiwa wamebeba moja ya mashine za kuuzia Kondomu ambazo zimetolewa na Shirika la PSI kwa Kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Posted by MROKI On Thursday, May 21, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo