Nafasi Ya Matangazo

April 21, 2009

Ofisa uhusiano wa kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo Jackson mmbando akielezea kwa waandishi wa habari jinsi ya kushiriki promosheni ya Babuka na mchuma itakayoendeshwa kwa miezi miwili ambapo wateja wa Tigo watatuma neno TIGO MCHUMA kwenda 15713 na kujipatia nafasi ya kuibuka washindi wa magari hayo pamoja na muda wa maongezi, promosheni itadumu kwa miezi miwili na kila mwezi gari moja kushindaniwa pamoja na muda wa maongezi wa shilingi 5000 kwa wateja 50 kila wiki.


Magari aina ya Mitsubishi Colt ambayo washindi wa Promosheni hiyo mpya ya TIGo watashinda.
Posted by MROKI On Tuesday, April 21, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo