Watanzania popote pale chini ya jua tusaidiane ushauri hivi nini hasa kinachangia wenzetu hawa wa kutoka Dodoma kujishughulisha hasa na vitendo hivi? Je nini kifanyike kwetu sisi bila kuitupia serikali lawama maana kama nishida mbona mikoa mingi inashida na watu wapo tu huko huko vijinini na maisha yanaenda?. Istoshe wengi wetu tumezaliwa huko huko. Ushauri wako mdau.
February 07, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Unakosea hawa wapo kutoka sehemu nyingi tu za Tanzania.Hilo unalosema wewe lilikuwa zamani mfano : ukisikia wezi - wachaga, wauza miili - wahaya, n.k. Siku hizi kila mahali kabila zote chochote kinaweza kutokea.
ReplyDelete