Nafasi Ya Matangazo

February 07, 2009

Mama huyu mwenyeji wa Mko awa Dodoma akiwa kazini Dar es Salaam. Inadaiwa hawa watoto wanao wabeba akina mama hawa sio wakwao bali huwachukua na kuwalipa wazazi wao ujira maan awengi husingizia kuwa wana watoto ili wapate msaada.
Akiwa katika gari lingine
Akipokea sh 50 kutoka kwa dereva
Akishukuru kwa msaada...
Akimnyooshea kidole mpigapicha baada ya kugundia alikuwa akipigwa picha.
Watanzania popote pale chini ya jua tusaidiane ushauri hivi nini hasa kinachangia wenzetu hawa wa kutoka Dodoma kujishughulisha hasa na vitendo hivi? Je nini kifanyike kwetu sisi bila kuitupia serikali lawama maana kama nishida mbona mikoa mingi inashida na watu wapo tu huko huko vijinini na maisha yanaenda?. Istoshe wengi wetu tumezaliwa huko huko. Ushauri wako mdau.




Posted by MROKI On Saturday, February 07, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Unakosea hawa wapo kutoka sehemu nyingi tu za Tanzania.Hilo unalosema wewe lilikuwa zamani mfano : ukisikia wezi - wachaga, wauza miili - wahaya, n.k. Siku hizi kila mahali kabila zote chochote kinaweza kutokea.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo