Nafasi Ya Matangazo

February 17, 2009

Mtoto mkazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam katika kota za jiji akiwa amekaa katika kiambaza cha nyumba yao iliyozingirwa na maji baada ya mitaro ya maji taka katika eneo hilo kuziba na juhudi za kuzibua zikiwa zimefikia ukingoni.
Mmoja wa mkzi wa eneo hilo akiingia nyumbani kwake.
Kwamujibu wa kazi wa kota hizo zilizopo karibu na ofisi za Mkuu wa Wilaya Kinondoni wanasema wamelia sana juu ya tatizo hilo na hasa Mbunge wao Idd Azan bila mafanikio. Mbunge huyo amekuwa akiwaahidi kufika na kutatua tatizo lao lakini hatokei hata maramoja.
Je halii hii itakuwa hivi hadi lini?

Posted by MROKI On Tuesday, February 17, 2009 1 comment

1 comment:

  1. LAWAMA ZANGU KWA WANA VYOMBO VYA HABARI NYINYI MANAPASWA KUWAONDOA UJINGA WANANCHI, LKN NI WAKWANZA KUWAPUMBAZA WANANCHI.

    Waandishi wahabari siyo muwe mnatuwekea habari zisizo kuwa na maana mnatakiwa kuwaamasisha wananchi wawe wanatunza mazingira yao wenyewe kwani siyo kazi ya serikali pekee kwani serikali ni sisi sote na kama waandishi mngekuwaga vichochezi wa maandeleo kwenye jamii leo hii tusingeweza kuona mtoto kama huyo anakosa ucheza na kujidai kitaani kwake hili ni kosa la waandishi wa magazeti ambao huwa kazi zao kutuandikia habari zisizo kuwa na msingi kwa muda mwingine sisi tutakuwa tunawalaumu kwa kuwaibi wananchi fedha zao wanazozipata kwa hali ngumu kwa kuwauzia magazite mengine yenye habari za kujitungia karne hii siyo ya kijinga kijinga please jaribunu juhamasisha wananchi wawe wanatunza mazingira yao ili siku nyingine mambo kama hapo juu yasijirudie tena.
    Kuna baadhi ya wamiliki wamagazeti wanajijazia matumbo yao kwa kuwaibia hela wananchi kwa habari feki(za uongo)Acheni ubinafsi waelimisheni wananchi kwa maswala madogo madogo ili wazee wetu wapambane na makubwa

    AIBU SANA KWA VYOMBO VYA HABARI KUSHINDWA KUWAJIBIKA KWA MTU MNAYEMUUZIA HABARI KWANI MTU AKIUGUA MTASHINDWA HATA NYINYI KWENDA CHOONI. KWANI MNAKULA JASHO LETU.HALAFU NYINYI NDIO WA KWANZA KUANDIKA HABARI ZA UFISADI WAKATI NA NYINYI PIA MAFISADI
    MUOGOPENI MUNGU.

    INATIA UCHUNGU

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo