
Mwanamuziki wa Laza ya Bongo Abwene Yesaya (AY) akitumbuziza wageni waalikwa juzi wakati wa uzinduzi wa Tuzo za Muziki Tanzania 2009 'Kili Music Awards 2009'.

Meneja wa Lebo ya Bia ya Kilimanjaro, Oscar Shelukindo akizungumza wakati wa uzinduzi huo Dar es Salaam juzi.
0 comments:
Post a Comment