Nafasi Ya Matangazo

January 05, 2009

WADAU MNIWIE RADHI KWA USUMBUFU WA AINA YEYOTE ILE NILIOWAPA KWA KUKOSA NEWS HAPA MTANDAONI TANGU TAR 26-12-2008 HADI JANA. JAMANI NILIKWENMDA KIJIJINI KWETU KIPERA KULA SKUKUU NA HUKO MTANDAO BADO HAUJAFIKA. SASA TUTAENDELEZA LIBENEKE KAM,A KAWA.
Posted by MROKI On Monday, January 05, 2009 2 comments

2 comments:

  1. Tilikuwa tinakushangaa website yako inaweza kuwa nzuri kama ukitilia mkazo zaidi vitu kama frequent updates.

    Halafu maandishi yako yanumiza macho jaribu kurekibisha font zako otherwise utatupofua macho yetu.

    ReplyDelete
  2. Inamaana bado uko kipera?????u cant b serious!!rudi bwana utubrekishie ma news!!usisahau kusnepisha mitaa ya changarawe..


    mdau namba moja

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo