Nafasi Ya Matangazo

January 05, 2009

Babu maarufu (kushoto) katika mitaa ya Posta kwa kupiga mzinga wapita angazake maarufu Ombaomba ambaye kila unapompitia husema ' Saidia kaka, saidia mama, nk leo asubuhi alitolewa mita na mgambo wa jiji baada ya kumstukia kuwa sio mlemavu na anawaibia tu waliona nia njema ya kusaidia walemavu. Mzee huyu ambaye hujikunja kama mlemavu aliwaambia Mgambo hao kuwa Kuiba yeuye hawezi hiyo ndo kazi anayoiweza.
Posted by MROKI On Monday, January 05, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo