![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWXzeOsqVjI/AAAAAAAABVE/EHse-GiKHaA/s400/w.JPG)
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mjumbe mmojawapo wa mkutano mkuu wa UWT wakati akiingia kwenye ukumbi wa kilimani mjini dodoma kufungua rasmi mkutana wa taifa wa jumuia hiyo tarehe 7.1.09
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWXzdq4_mrI/AAAAAAAABU0/Dprih18gdJc/s400/t.JPG)
Mwenyekiti wa UWT aliyemaliza muda wake mama Annah Abdallah anahutubia wajumbe wa mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment