![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUz_uAx2dSI/AAAAAAAABRU/XLtHk_mPSYk/s400/hiti.JPG)
Mhitimu katika Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) Eveline Anatori akiwa amembeba mwanae Lightness Lazaro jana wakati wa mahafali hayo. Dada huyu alinipasha kuwa na baba Lightness nae alikuwa anahitimu.
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUz_tx9roCI/AAAAAAAABRE/pmb_dsu17QE/s400/TIA.JPG)
Wahitimu wakisubiri kunukiwa nondo zao
![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUz_t-9N57I/AAAAAAAABRM/xv8opYEvLw8/s400/TIAa.JPG)
Wahitimu wakimsikiliza mgeni rasmi waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo.
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUz9-iHrdvI/AAAAAAAABQ8/PinT2Rz_dkM/s400/TIA1.JPG)
Wahitimu wa Kozi ya Stashahada ya Uhasibu katika Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) Cecilia Aghabu 9kushoto) na Hadija Abdi wakiwa katika mahafali hayo ya sita ya chuo hicho jana.
0 comments:
Post a Comment