![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUumxSSzaII/AAAAAAAABQk/1UFQmaRtB-A/s400/1.JPG)
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dr.Harris Mule akimtunuku Phd ya Heshima ya chuo hicho Rais Jakaya Kikwete wakati wa mahafali ya 25 ya hicho mjini Nairobi. Phd hiyo inatokana na jitihada zake za utatuzi wa nmigogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya.
![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUumx1k9dII/AAAAAAAABQs/ahrdZ6aQ_R8/s400/2.JPG)
Dk Jakaya Kikwete akipokea nondo hiyo
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUumyGtaViI/AAAAAAAABQ0/Vl7Ytb0xW2M/s400/3.JPG)
Dk Kikwete Akipongweza na mkewe Salma Kikwete kwa kuupata Udokta wa heshima.
HIZI PHD ZA KUPEWAPEWA HIZI . KIKWETE ANADEGREE MOJA TU ECONOMIS THATS IT. MGOGORO GANO MBONA MUGABE YOU HUKO WATU WANAKUFA NA CHOLERA JAMANI WAAFRIKA DANGANYA TOTO
ReplyDelete