
Moto wa Fally Ipupa ukiwaka jukwaani.

Kamanda Fally Ipupa akikamua mistari

Akina Papaa fulani katika kutafuta umaarufu walipanda jukwaani na kumwaga fedha kwa Fally Ipupa

Waliopiga picha kama akina Kinyaiya walionyeshana hapo hapo

Mashabiki walipagawa kila kila mmoja kivyake

Ilikuwa ni full kujiachia

Bingwa wa minenguo Mbili Abell akikatika na mshabiki

Mbili Abell aliingia ukumbini kwa staili hii.

Huu moto ni hatari kama wa Ngasuma
0 comments:
Post a Comment