Nafasi Ya Matangazo

December 15, 2008

Ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkzi Kisutu Dar es Salaam alipofikishwa kujibu mashitaka kadha ya matumizi mabaya ya ofisi.


Gray Mgonja akikata kiu
Wapigapicha na waandishi wakiangalia namna atakavyo shuka katika gari
Mawazo tu ya huko aendako
Askari akiwa nae ili asilete usumbufu
"Jamani mimi thijafanya hayo wanayo thema" Ni Gray Mgonja katibu Mkuu wa zamani wqa Wizara ya Fedha na aliyedumu kwa muda mrefu hadi kustaafu kwake akizungumza na mawakili wanao mtetea katika kesi inayomkabili ya matumizi mabaya ya ofisi.

Gari la Polisi na Mbwa likiwa mbele ya gari alilobebebwa Gray Mgonja baada ya kukosa shilingi bilioni 5.9 za zamana.
Posted by MROKI On Monday, December 15, 2008 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo