
waziri wa Muungano Mohamed Seif Khatib akilamba picha na wachezaji wa staz baada ya kuwasilu Dar es Salaam wakitokea Sudan walipofuzu fainali za Mataifa a Afrika kwa wachezaji wa Ligi ndani pekee.

Mbunge wa Singida mjini Mohamed Dewj aliyevua shati akishangilia timu ya Taifa.
0 comments:
Post a Comment